
Tanzania kujizatiti kibiashara soko huru la Afrika
Dar es Salaam. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amesema Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kwenye biashara nje ya nchi kupitia soko huru barani Afrika. Ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 24, 2025 jijini Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru…