Mashahidi 13 kutoa ushahidi kesi ya wizi wa Sh3.4 bilioni

Dar es Salaam. Mashahidi 13 na vielelezo 20 vinatarajiwa kutolewa mahakamani katika kesi ya kujipatia Sh3.4 bilioni kwa njia ya udanganyifu inayomkabili Mkurugenzi na mwanahisa wa duka la kubadilishia fedha la Fx Bureau De Change, Faruk Sidick. Sidick anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kujipatia Sh3.4 bilioni kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha kiasi hicho…

Read More

Tabu iko palepale, Pacome aongeza miwili Yanga

KLABU ya Yanga imethibitisha kumuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake, Pacome Zouzoua baada ya ule wa awali kumalizika mwisho wa msimu uliopita 2024-2025. Kiungo huyo raia wa Ivory Coast, alitua Yanga msimu wa 2023-2024 akitokea ASEC Mimosas ambapo alikuwa Mchezaji Bora (MVP) wa Ligi Kuu ya Ivory Coast. Katika msimu uliopita 2024-2025, Pacome alikuwa…

Read More

Yahya Mbegu awindwa Mbeya City

UONGOZI wa Mbeya City uko katika hatua nzuri za kumsajili aliyekuwa beki wa kushoto wa maafande wa Mashujaa FC, Yahya Mbegu kwa ajili ya kuongezea nguvu kikosi hicho, huku mazungumzo yakienda vizuri baina ya upande wa mchezaji na klabu. Beki huyo alijiunga na Mashujaa Januari 12, 2025 kwa mkopo akitokea Singida Black Stars na sasa…

Read More

Makundi maalumu yakumbukwa kwenye sekta ya madini

Dodoma. Serikali imeweka mkakati wa kila eneo litakalokuwa na mgodi mpya wa uchimbaji madini, litenge sehemu maalumu kwa ajili ya kuwapatia wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Julai 24, 2025 na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Ali Samaje wakati akifungua semina ya mafunzo kwa wanawake wachimbaji wadogo ambayo inalenga…

Read More

STANBIC YAANDAA JUKWAA LA KIHISTORIA KUHUSU UWEKEZAJI NA UHAMASISHAJI MITAJI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

• Wawekezaji na watunga sera wa ukanda wa Afrika Mashariki wakutana kuchochea uwekezaji wa mitaji ya ndani kwa ajili ya miundombinu. • Jukwaa lavikutanisha mifuko ya pensheni, taasisi za fedha za maendeleo na wasimamizi wa sekta kutoka Tanzania, Kenya na Uganda. • Stanbic yaongoza juhudi za kuhamasisha mitaji ya ndani kutoka kuwa akiba ya hifadhi…

Read More