Watatu wakalia kuti kavu Mashujaa FC
UONGOZI wa maafande wa Mashujaa, huenda ukaachana na nyota watatu wa kikosi cha kwanza msimu huu, baada ya kutokuwa na maelewano mazuri ya kuongeza mkataba mpya, huku mabosi wa timu hiyo wakiendelea kupambana kwa lengo la kubakia nao. Nyota wanaotajwa huenda wakaachana na timu hiyo ni beki wa kulia, Omary Kindamba, beki wa kati, Ibrahim…