
Wawekezaji wajadili fursa za nishati, usafirishaji na maji Afrika Mashariki
Wawekezaji wa taasisi kutoka Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana jijini Arusha kujadili jinsi ya kuhamasisha mitaji ya ndani katika uwekezaji kwenye sekta za nishati, maji, usafirishaji na miunganisho ya kidijitali. Hatua hiyo inatajwa kama njia muhimu na ya haraka katika kusukuma maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki. Jukwaa hilo limeandaliwa na…