Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: July 2025

  • Home
  • 2025
  • July
  • Page 53
Habari

Majaliwa: Sitagombea tena ubunge Ruangwa

July 2, 2025 Admin

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza hatogombea tena ubunge wa Ruangwa, Mkoa wa Lindi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025. Dirisha

Read More
Habari

VETA YAANZISHA FANI YA KUFUNGA VIZIBO KATIKA CHUPA KWA TEKNOLOJIA YA KUSASA

July 2, 2025 Admin

Na Mwandishi Wetu CHUO cha Ufundi Stadi VETA  Kipawa jijini Dar es Salaam, kimeanzisha rasmi fani mpya ya mafunzo ya kufunga chupa za vinywaji kwa

Read More
Habari

Kauli ya ‘mwanamme suruali’ ilivyosababisha mauaji

July 2, 2025 Admin

Tabora. Ni kweli ndoa inahitaji uvumilivu lakini kuna maneno ukimtamkia mumeo yanaweza yasikuache salama, hiki ndicho kilichotokea, baada ya mume kumuua mkewe bila kukusudia baada

Read More
Habari

ZARA TANZANIA ADVENTURES YAZINDUA MSIMU WA TANO WA KAMPENI YA ‘TWENZETU KILELENI’

July 2, 2025 Admin

Na Linda Akyoo. Kampuni ya Zara Tanzania Adventures imefanikiwa kuzindua msimu wa tano wa kampeni ya “Twenzetu kileleni 2025” ambapo leo kuu ni kupanda mlima

Read More
Kimataifa

Kulinda wanyama wa porini kutokana na kutoweka kwa biashara-maswala ya ulimwengu

July 2, 2025 Admin

Hapo awali ilichukuliwa mnamo 1963 katika mkutano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Mazingira, Mkutano ilianza kutumika mnamo 1975, kama makubaliano ya kwanza ya

Read More
Burudani Magazeti

Fyatu kutoa gari kwa kila mpika kura ya kula

July 2, 2025 Admin

Kama mjuavyo, uchakachuaji, sorry, uchaguzi mkubwa umekaribia, na ninagombea urahis na lazima nitashinda hata kama ni kwa goli la mkono kama lile na Mapepe Tunaye.

Read More
Habari

Wasio tayari wang’atuliwe | Mwananchi

July 2, 2025 Admin

Kwa asilimia kubwa, akili za wabongo ni kama za kushikiwa. Kila siku benki zinatoa elimu, matangazo na ofa ili kuwahamasisha watu kujiwekea akiba. Lakini wabongo

Read More
Habari

Samia anastahili shukrani hotuba ya kulivunja Bunge la 12

July 2, 2025 Admin

Nilisikiliza hotuba ya Rais Samia aliyotoa bungeni ile siku alipozindua rasmi utawala wake wa Awamu ya Sita, na pia nikaisikiliza tena juzi Ijumaa alipolivunja Bunge

Read More
Habari

Rais Mwinyi awaweka pembeni RC, ma- DC wakiwamo wanaoutaka uwakilishi, ubunge

July 2, 2025 Admin

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa  wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo

Read More
Michezo

Azam FC yaja na mbadala wa Gibril Sillah

July 2, 2025 Admin

BAADA ya kiungo wa Azam FC, Gibril Sillah kuaga kwenye timu hiyo mabosi wake wa zamani tayari wameshaweka sawa nani atakuwa mbadala wake. Kiungo huyo

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 52 53 54 … 63 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.