
WATAALAMU WA RASILIMALI WATU WAHIMIZWA KUJIUNGA NA JUMUIYA ZA KITAALUMA
Na Pamela Mollel, Arusha Waajiri kote nchini wametakiwa kuzingatia maelekezo ya Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu namna bora ya ushiriki wa watumishi katika mikutano ya jumuiya zinazotambuliwa rasmi na serikali, zikiwemo jumuiya za kitaaluma kama TAPAHR. Ushiriki huo umetajwa kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza weledi, kujenga mitandao…