
Mambo ya kukumbukwa miaka mitano bila hayati Mkapa
Dar es Salaam. Leo Julai 24, 2025, Watanzania wanatimiza miaka mitano tangu kumpoteza Rais mstaafu wa awamu ya tatu, hayati Benjamin Mkapa, kiongozi aliyesifika kwa busara, uchapakazi, na kauli zake zilizobeba ujumbe mzito kwa Taifa. Mkapa alifariki dunia Julai 24, 2020 na alizikwa Julai 29, 2020 kijijini kwao Lupaso mkoani Mtwara. Mkapa anakumbukwa kwa msemo…