
BILA ‘PPP’ MAENDELEO YATAKAWIA – BALOZI DKT. MWAMPOGWA
……….. NA MWANDISHI WETU, TANGA Ushirikiano kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (Public and Private Partnership – PPP) ni muhimu sana katika kuchagiza kasi ya maendeleo na bila ushirikiano huo, maendeleo yatakawia kuwafikia wananchi kule walipo. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Wazalendo Huru Tanzania – Watoto wa Afrika, Balozi Dkt. Mohamed…