Pamba Jiji yampa miaka miwili Baraza

UONGOZI wa Pamba Jiji umemalizana na kocha Mkenya Francis Baraza kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili akipishana na Fredy Felix ‘Minziro’ aliyepambana kuibakisha timu hiyo. Baraza ana uzoefu wa soka la Tanzania, kwani amepita Biashara United na Kagera Sugar anatarajia kuwasili nchini Agosti Mosi tayari ya kuanza majukumu ya kuiweka tayari timu hiyo kwa mchaka…

Read More

Pamba, Kadikilo bado kidogo tu

PAMBA Jiji imekamilisha dili la usajili wa beki wa Fountain Gate, Amos Kadikilo, huku kiongozi wa klabu hiyo akifichua kila kitu kilichofanyika hadi sasa. Kikosi hicho cha Pamba kilipanda daraja msimu uliomalizika na kufanikiwa kumaliza nafasi ya 11, ikiwa na pointi 34. Kadikilo aliyewahi kucheza Geita Gold kwa misimu miwili na kuifungia mabao manne kabla…

Read More

Mashujaa yamnasa kiungo wa Kagera

MASHUJAA imefanikiwa kunasa saini ya kiungo wa Kagera Sugar, Samwel Onditi kwa kumpa mkataba wa miaka miwili, mabosi wa klabu hiyo wamethibisha. Onditi aliyekuwa mmoja ya mastaa walioshuka daraja na timu hiyo kutokana na kumaliza nafasi ya 15 katika msimamo wa timu 16 sambamba na KenGold. Kabla ya kuitumikia Kagera, Onditi amewahi kukipiga pia timu…

Read More

Aliyeuawa kwa risasi na polisi azikwa

Dodoma. Mwili wa Frank Sanga (34) aliyefariki dunia kwa kupigwa na risasi umezikwa leo huku wachungaji wa Kanisa la Anglikana wakitaka Serikali isimamie mambo hayo yasijirudie kwa sababu yanaiumiza jamii. Mbali na vilio vilivyotanda nyumbani hadi kanisani, baadhi ya ndugu walipoteza fahamu baada ya kuona mwili wa ndugu yao. Mjane wa Frank Sanga aliyeuawa kwa…

Read More

Hatari kwa wapenda intaneti ya bure

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa, baadhi ya watu hupenda kutumia huduma ya mtandao wa intaneti ya bure (Free Wi-Fi) popote pale wanapoikuta, sababu ikitajwa ni kushindwa kumudu gharama za vifurushi au ni mazoea. Hata hivyo, imetahadharishwa kuwa, kuna hatari ya matumizi ya mtandao wa aina hiyo, hasa simu kupekuliwa bila mwenyewe kufahamu. Mwananchi imezungumza na…

Read More

Matokeo udiwani viti maalumu yalivyoongeza joto CCM

Dar es Salaam. Mchakato wa kura za maoni za udiwani wa viti maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliohitimishwa Julai 20, mwaka huu, umeongeza joto la kuwapata wagombea watakaopeperusha bendera ya chama hicho kwenye nafasi ya udiwani, uwakilishi na ubunge. Joto linaongezeka kwa sababu katika kura za maoni za kuwapata madiwani wa viti maalumu, wapo…

Read More

Waajiriwa wapya wasisitizwa kutunza siri za Serikali

Lindi. Maofisa tarafa pamoja na watendaji wa kata wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kuonyesha nidhamu, maadili mema, na weledi wa hali ya juu katika kutekeleza majukumu yao. Pia, wametakiwa kuhifadhi kwa makini siri za Serikali, za wananchi ili kudumisha uaminifu na ushirikiano mzuri baina yao na jamii. Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainab Telack akizungumza…

Read More

GHALA LA MANDOO KUNUFAISHA WAKULIMA BABATI

Na Mwandishi wetu, Babati GHALA kubwa jipya la mazao lililopo Kata ya Mamire Wilayani Babati Mkoani Manyara, linalomilikiwa na mwekezaji Herman Mandoo litatochea fursa ya kiuchumi kwa wakulima wa eneo hilo na majirani. Mmiliki wa ghala hilo, mwekezaji Mandoo amesema ghala hilo jipya lenye uwezo wa kuhifadhi tani 1,000 hadi 1,300 za mazao, litakuwa msaada…

Read More

Wananchi wataka wizi wa karafuu udhibitiwe, Serikali yatoa kauli

Pemba. Wizi wa karafuu umezua hofu kubwa kwa wananchi wa Shehia ya Mgelema, Wilaya ya Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba. Wameiomba Serikali kuanzisha operesheni maalumu za kuwakamata wahalifu wanaojihusisha na wizi wa zao hilo, ambao umesababisha umaskini mkubwa miongoni mwa wakulima. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na  Mwananchi katika Kijiji cha Mgelema wilayani humo, Julai 23,…

Read More