
RC KIHONGOSI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WILAYA ARUMERU.
Na Veronica Ignatus Mkuu wa mkoa wa Arusha Kenan Kihongosi amewahakikishia wananchi wa Wilaya ya Arumeru kuwa changamoto zao zitatuliwa kwa wakati lengo ni kila mmoja kuona matunda ya kazi inayofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema ameletwa katika mkoa huo ili kwa ushirikiano wa pamoja waweze kuleta mabadiliko ya uchumi wa kila mmoja…