Uponyaji baada ya kusafirishwa – maswala ya ulimwengu

Miaka nane iliyopita, Maria aliondoka Caracas, Venezuela, akiendeshwa na fursa za kupungua na tumaini la kumaliza masomo yake ya mifugo. Katika miaka 21 tu, alikubali ofa kutoka kwa mtu aliyemjua ambaye aliahidi kazi huko Trinidad na Tobago, kusafisha nyumba, meza za kungojea. Ilionekana kama njia ya kuishi, njia ya kujisaidia yeye na familia yake nyumbani….

Read More

Hii hapa orodha waliopitishwa udiwani CCM Dar

Dar es Salaam. Mchakato wa uteuzi wa wagombea nafasi ya udiwani Mkoa wa Dar es Salaam umekamilika na sasa wateule hao wanaingia katika hatua ya kupigiwa kura za maoni. Hata hivyo, kabla ya kupigiwa kura, watapita kujitambulisha kwa wajumbe na kisha kupigiwa kura za maoni kuanzia kesho. >>Orodha kamili gusa hapa

Read More

Viongozi wa Michezo wa SHIMIWI Wapata Mafunzo ya Afya ya Mwili

Na Mwandishi Wetu, Mwanza VIONGOZI wa klabu mbalimbali zinazoshiriki michezo ya Shirikisho la michezo ya Wizara, Idara, Wakala za Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa Tanzania (SHIMIWI), wamepata mafunzo ya kuwajengea uwezo kuhusu afya michezoni yaliyotolewa na Daktari bingwa kutoka taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete, yaliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Rocky City…

Read More

Meridianbet Yaonyesha Uzalendo kwa Vitendo, Yatoa Vifaa vya Usafi Kinondoni

KATIKA hali ya kuonyesha moyo wa kizalendo na kugusa maisha ya Watanzania wa kawaida, kampuni ya Meridianbet imeendelea kuthibitisha kuwa mafanikio ya kweli hayapimwi tu kwa faida ya kibiashara, bali pia kwa namna taasisi inavyorudisha thamani kwa jamii inayoiwezesha. Meridianbet imefanya tukio maalum lililoacha alama kubwa katika mioyo ya wasafishaji wa barabara ndani ya Manispaa…

Read More

Mwandishi Mwanaspoti apewa cheti cha Heshima na Ubalozi wa Marekani

MWANDISHI wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited ambaye amekuwa akiandikia gazeti namba moja la michezo Tanzania, Mwanaspoti, Nevumba Abubakar, ameandika historia mpya katika taaluma yake baada ya kutunukiwa cheti cha heshima na Ubalozi wa Marekani, ikiwa ni sehemu ya kutambua umahiri wake kwenye utengenezaji wa maudhui ya kidigitali. Nevumba amekuwa mmoja wa vijana wachache waliobahatika…

Read More