BENKI YA DUNIA KUJENGA MRADI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME WA KV 400 KUTOKA UGANDA HADI TANZANIA

::::::::: ** *📌Yakutana na Mhandisi Mramba kueleza uamuzi huo baada ya kujiridhisha kuwa hauna athari kimazingira* *📌Yaialika Wizara ya Nishati kushiriki Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa jijini New York* *📌Mramba aahidi kuendelea kushirikiana na Benki ya Dunia utekelezaji miradi ya Nishati* Benki ya Dunia (WB) imeeleza kuwa itatoa fedha za utekelezaji wa mradi wa…

Read More

Yanga yamuongeza Casemiro kikosini | Mwanaspoti

MABINGWA wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC wamekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Abdulnasir Abdallah ‘Casemiro’ kwa mkataba wa miaka mitatu. Yanga inaendelea kusuka kikosi kwa ajili ya msimu ujao 2025-2026, kwa nia ya kuhakikisha inaendelea pale ilipoishia msimu uliopita 2024-2025 ilipotwaa mataji matano ikiwamo kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la…

Read More

JAB yaendelea kung’ata waandishi | Mwananchi

Dar es Salaam. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema itaendelea kuchukua hatua kali dhidi ya watu wanaofanya kazi za habari bila kukidhi vigezo vya kitaaluma na kusajiliwa rasmi, ikisisitiza lengo ni kulinda hadhi ya taaluma ya habari nchini Tanzania. Julai 18, 2025 bodi hiyo iliwazuia kufanya kazi watangazaji wanne wa redio ya…

Read More

Tanzania yataja vyanzo vya migogoro SADC, Afrika

Dar es Salaam. Mipaka, rasilimali, makabila, dini, siasa na kuwa na vijana wengi wasomi bila ajira, vimetajwa kuwa vyanzo vya migogoro inayotokea katika nchi za ukanda wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Afrika kwa ujumla. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ya Tanzania, zipo baadhi…

Read More

UNuomboleza kujiondoa kutoka kwa wakala wa kielimu na kitamaduni – maswala ya ulimwengu

“Ninajuta sana uamuzi wa Rais Donald Trump wa kuondoa tena Merika ya Amerika kutoka UNESCO“Audrey Azoulay, mkurugenzi mkuu wa shirika la Paris, alisema katika taarifa. Huko New York, msemaji wa UN, Stéphane Dujarric alisema kwamba Katibu Mkuu anajiunga na Bi Azoulay “kwa kujuta sana uamuzi wa Merika.” Amerika iliondoka kwanza kutoka UNESCO mnamo 1984 chini…

Read More

Aliyeachiwa huru kwa ulawiti afungwa maisha

Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeitengua hukumu ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni ambayo awali ilimuachia huru Julius Meela aliyekuwa anakabiliwa na shtaka la ulawiti. Katika rufaa hiyo ya jinai  ya mwaka 2024 iliyokatwa na Jamhuri dhidi ya Meela, hukumu iliyotolewa Julai 18, 2025 na Jaji David Ngunyale…

Read More

Sekta ya madini inavyodahili wanafunzi wachache vyuoni

Dar es Salaam.  Ripoti zinaonesha mchango wa sekta ya madini katika uchumi wa Taifa unaendelea kukua. Mwaka 2024, sekta hiyo ilichangia asilimia 10.1 ya Pato la Taifa, ikilinganishwa na asilimia 7.1 mwaka 2021 ikiwa tayari imepita lengo la asilimia 10 la mwaka 2025. Sekta hii imeendelea kuvutia wawekezaji wa ndani na nje, huku Serikali ikiimarisha…

Read More

Serikali yatoa kauli sakata la Polepole

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema taarifa kuhusu Balozi Humphrey Polepole zitatolewa mamlaka husika zitakapokamilisha taratibu. Balozi Polepole aliandika barua ya kujiuzulu Julai 13, 2025, kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan akitaja sababu ni kutoridhishwa na mwelekeo wa uongozi usiojielekeza katika…

Read More

Serikali yatoa kauli kuhusu Polepole

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema taarifa kuhusu Balozi Humphrey Polepole zitatolewa mamlaka husika zitakapokamilisha taratibu. Balozi Polepole aliandika barua ya kujiuzulu Julai 13, 2025, kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan akitaja sababu ni kutoridhishwa na mwelekeo wa uongozi usiojielekeza katika…

Read More

Miaka 25 ya Vodacom: Kuadhimisha Uunganishwaji Kidijital

Katika kuadhimisha robo karne ya uwepo wake nchini na mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake, Vodacom Tanzania PLC imeanzisha kampeni kabambe ya nchi nzima ijulikanayo kama “Tupo Nawe, Tena na Tena.” Kampeni hii, itakayodumu kwa miezi minne, inalenga kuwakumbusha Watanzania jinsi Vodacom ilivyokuwa nao bega kwa bega katika kila hatua ya maisha yao. Kuanzia enzi za…

Read More