
125 wakamatwa wizi, dawa za kulevya Shinyanga
Shinyanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema kuwa jumla ya watu 125 wamekamatwa ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kwa tuhuma za makosa mbalimbali, yakiwemo wizi na ushiriki katika vitendo vinavyohusiana na dawa za kulevya. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga Janeth Magomi akizungumza na waandishi wa habari mkoani Shinyanga. Akizungumza…