Kwa nini ni muhimu sasa – maswala ya ulimwengu

Wakati ambao jamii ya kimataifa inatafuta kudhibiti tapestry tajiri ya sakafu ya bahari ya sayari wakati nchi na mashirika huelekeza kasi kuelekea fursa za madini ya baharini, hii ndio unahitaji kujua juu ya ISA na kwa nini ni muhimu sasa: Inafanya nini? Isa inasimamia rasilimali za madini za baharini zaidi ya mamlaka ya kitaifa, ambayo…

Read More

Fyatu kujifyatua na kujinoma na king’ora!

Baada ya kuchoka msongamano wa Bongo isiyo na bongo za kutatua changamoto na kero zake, nimechemsha bongo. Niwajuze waziwazi. Nina mpango wa kununua na kufunga king’ora kwenye mchuma wangu kuepuka kusota kwenye foleni kama mafyatu makapuku wakati mie ni munene wao kama wale wanene wa kaya. Maana, kama sikosei, ndiyo mfumo wa kifyatu wa wanene…

Read More

NAIBU KATIBU MKUU (ELIMU) WyEST AFANYA ZIARA TLSB

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ametembelea Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) Makao Makuu Dar es Salaam leo tarehe 22 Julai, 2025 kujionea na kujifunza shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Bodi ikiwa ni takribani mwezi mmoja sasa tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo. Dkt. Omar, amesema lengo…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Shetani akiporwa kiti hatulii

Niliwahi kusikia na kusoma hadithi za kimila na Maandiko Matakatifu mambo yanayofanana. Shetani, jini au ruhani anapomwingia mtu humfanya kuwa jimbo lake (kiti). Mwathirika anaweza asione tofauti, lakini wale waliomzunguka huona shaka juu ya mwenendo wa ndugu yao. Watamtafuta mganga na kumpunga shetani huyo. Kwenye maandiko ni vivyo hivyo ila shetani hukemewa na watumishi wa…

Read More

Mzunguko siasa za kushughulikiana umetua kwa Mbowe

Siasa za kutajana majina na kuaibishana (naming and shaming), ndizo zimeshika hatamu Tanzania. Nyakati baada ya nyakati, kunakuwa na mtu anamulikwa kama adui wa ndani, anayetumika kudhoofisha upinzani. Mtindo wa kutajana majina na kuaibishana, umegeuka tabia ya siasa za nchi. Ujenzi wa mazoea, umefanya mijadala ya masuala yenye kuhusu uelekeo wa nchi, ufumbuzi wa matatizo…

Read More

Mnyukano wa Linda kura, No reforms, no election na Oktoba Tunatiki balaa

Wakati Watanzania wakijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, mijadala ya kisiasa imetawala majukwaa mbalimbali, hususani kwenye mitandao ya kijamii. Kauli za kisiasa kama vile No reforms, No election; Oktoba Tunatiki; Piga kura, Linda kura na zingine zimekuwa maarufu mitandaoni. Kauli hizi na zingine za namna hiyo zinazoibuka kupitia mitandao ya kijamii kama vile…

Read More

Atupwa jela kwa kuandika mtandaoni ‘bora rais asingezaliwa’

Ivory Coast. Muuguzi mmoja aitwaye Tokpa Japhet mwenye umri wa miaka 43 ametupwa jela kwa kile kilichoelezwa andiko lake la Facebook aliloandika; ‘Bara la Afrika lingenusurika endapo Rais Alassane Outtara hangezaliwa”. Kutokana na kauli hiyo Japhet kutoka nchini Ivory Coast ametupwa jela miaka mitatu wakati ikiwa imesalia miezi miwili kabla ya taifa hilo kuingia kwenye…

Read More

Majaliwa Akutana Na Waziri Mkuu Wa Belarus – Global Publishers

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa alivyopokelewa na Waziri Mkuu wa Belarus WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Belarus, Alexander Turchin na kujadiliana naye masuala ya uwekezaji, biashara, nishati, madini, elimu, afya, teknolojia na kilimo kwenye kikao kilichofanyika leo (Jumanne, Julai 22, 2025) ofisini kwa mwenyeji wake, mtaa wa Sovetskaya, jijini Minsk. Katika mazungumzo…

Read More