
Stein Warriors yashangaza BDL | Mwanaspoti
ABC iliona joto la kufungwa katika Ligi ya kikapu Dar es Salaam (BDL), baada ya kuchapwa na Stein Warriors kwa pointi 74-50. Mchezo huo uliokuwa mkali na kusisimua, ulipigwa Jumapili usiku katika Uwanja wa Donbosco, Upanga. ABC iliyokuwa haijapoteza mchezo wowote kwa michezo saba iliyocheza, katika mchezo wa nane ulikuwa ndiyo mchezo wake wa kwanza…