Mambo Wasiyopenda Wanaume Kwa Wanawake – Global Publishers

KUPITIA safu hii nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa wanawake. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake. Jamaa anamkimbia na kwenda kuanzisha uhusiano mwingine. Baada ya kukimbiwa, mwanamke hakati tamaa. Anaanzisha uhusiano mwingine, ndani ya muda mfupi tu, anaambulia…

Read More

UN Chief inahimiza diplomasia wakati vita vilienea kutoka Gaza kwenda Ukraine – maswala ya ulimwengu

Hii ndio njia endelevu ya usalama wa ulimwengu, yeye aliambiwa Mawaziri katika mjadala wa kiwango cha juu cha Baraza la Usalama Jumanne. Katibu Mkuu alisisitiza kwamba Charter ya UNZana – mazungumzo, upatanishi, maridhiano, usuluhishi na zaidi – yanabaki kuwa njia ya maisha wakati mvutano unapoongezekaMalalamiko Fester na majimbo yanapoteza imani kwa kila mmoja. Zana hizi…

Read More

Offen Chikola asaini Yanga, apewa mitatu

YANGA SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa 2025-2026 ambapo leo Juni 22, 2025 imemtambulisha winga, Offen Chikola. Kwa mujibu wa Yanga, Chikola amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Tabora United. Nyota huyo anakumbukwa na Wananchi kufuatia msimu uliopita kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara duru la kwanza kufunga…

Read More

Ratiba mpya ya CCM mchakato watiania ubunge, udiwani

Dar es Salaam. Baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kubadili ratiba ya vikao vyake vya uteuzi wa watiania wa ubunge na uwakilishi, kimetoa ratiba mpya ya vikao vyote kufanikisha mchakato huo. CCM ilitangaza mabadiliko ya ratiba hiyo, Julai 19, 2025 kupitia kwa Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, huku akitaja sababu…

Read More

Offen Chikola asaini Yanga | Mwanaspoti