Mechi za Kufuzu UEFA Kukupatia Mshiko Leo

JUMANNE ya leo unaweza ukaweka pesa yako ndani ya Meridianbet na ukabshiri mechi za kufuzu Ligi ya mabingwa Ulaya mkondo wa kwanza msimu ujao. ODDS za kibabe zinakusubiri sasa, ingia na usuke jamvi hapa. Anza kubashiri mechi hii ya Kups vs Kairat Almaty ambao hawapewi nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 2.80 kwa 2.65….

Read More

NAIBU WAZIRI UMMY AKAGUA MAANDALIZI YA MASHUJAA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amefanya ukaguzi wa maandalizi kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayotarajiwa kufanyika tarehe 25 Julai, 2025 katika Uwanja wa Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma. Mhe. Nderiananga ametembelea Uwanja huo leo tarehe 22 Julai, 2025 ili kujionea maandalizi ambapo amesema yamefikia hatua…

Read More

Ugonjwa uliomuua Mama Makete watajwa

Dar es Salaam. Familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya Kinondoni, Anna Hangaya, maarufu Mama Makete, imesema maradhi ya saratani ya mapafu ndiyo sababu ya kifo cha kada huyo wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Mama Makete ambaye ni mfanyabiashara amekuwa maarufu zaidi kutokana na kauli ya mahaba yake kwa…

Read More

Kibano chaja madereva walioshusha watalii kwenye magari hifadhini

Arusha/Dar. Madereva walioshusha watalii kwenye magari eneo la Kogatende, katika Hifadhi ya Taifa Serengeti, ili kushuhudia msafara wa nyumbu, watakabiliwa na mkono wa sheria. Wakati Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) likisema limeshayabaini magari yote yaliyohusika katika kadhia hiyo na hatua kali zimeanza kuchukuliwa dhidi ya waongoza watalii waliohusika, Chama cha Waongoza Watalii Tanzania…

Read More

Serikali yatoa sababu kusitishwa kozi tisa UDOM

Dodoma. Siku chache baada ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kutangaza kusitisha udahili kwa kozi tisa za shahada ya kwanza kwenye elimu ya ualimu kwa mwaka 2025/26, Serikali imesema lengo ni kuongeza umahiri wa walimu wanaozalishwa kwenye chuo hicho. Programu zilizositishwa ni Shahada ya Elimu ya Ualimu katika Sayansi na Tehama, saikolojia, sayansi, biashara, sanaa,…

Read More

Wafanyikazi wa UN sasa wanakata kutoka kwa njaa, uchovu; Ambao mfanyakazi aliyefungwa – maswala ya ulimwengu

“Madaktari, wauguzi, waandishi wa habari, watu wa kibinadamu, kati yao Unrwa Wafanyikazi, wana njaaKamaKukata tamaa kwa sababu ya njaa na uchovu wakati wa kutekeleza majukumu yao, “ Alisema Juliette Touma, mkurugenzi wa mawasiliano na Wakala wa UN kwa Wakimbizi wa Palestina, UNRWA. Akiongea kutoka kwa Amman, alisisitiza kwamba kutafuta chakula “imekuwa mbaya kama milipuko”. Maendeleo…

Read More