
BILIONI NNE KUJENGA KIWANDA CHA KUZALISHA NISHATI MBADALA
::::: Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) wamesaini mkataba wenye lengo la kujenga kiwanda kipya cha kuzalisha nishati mbadala (Mkaa mbadala wa Rafiki Briquettes) mkoani Geita ambapo mkataba huo una thamani ya shilingi bilioni 4.5. Katika hafla iliyofanyika leo tarehe 22 Julai, 2025 katika Ofisi ndogo…