Mvutano wa Houthi-Israeli, kesi za kipindupindu za Sudani zinaongezeka, mashambulio mabaya nchini Ukraine-Maswala ya Ulimwenguni

Mgomo huu ulitokea wakati UNISU YA UN ya kuunga mkono Mkataba wa Hudaydah – Ilianzishwa mnamo 2018 kusaidia kusitisha mapigano kati ya Serikali ya Yemen na Houthis – ilikuwa doria katika maeneo ya sehemu za kaskazini za bandari. Katibu Mkuu pia alionyesha wasiwasi mkubwa juu ya kombora linaloendelea na mgomo wa drone uliofanywa na Houthis…

Read More

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA DAWA NA ZANA ZA KILIMO NCHINI BELARUS

……………… WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, leo tarehe 22 Julai 2025, ameendelea na ziara yake rasmi nchini Belarus kwa kutembelea maeneo muhimu ya uzalishaji na ushirikiano wa kimkakati.  Akiwa katika mji wa Minsk, Mheshimiwa Majaliwa alitembelea kiwanda cha Belmedpreparaty, ambacho ni maarufu kwa utengenezaji wa dawa za binadamu. Aidha, Waziri Mkuu pia alitembelea kiwanda cha Minsk…

Read More

Mapya ajali ya ndege ya jeshi iliyoua wanafunzi

Bangladesh. Idadi ya vifo vilivyotokana na ajali ya ndege ya jeshi kamandi ya angta iliyotokea jana Jumatatu Julai 21, 2025 nchini Bangladesh imeongezeka kutoka 19 na kufikia 27. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Shule na chuo cha  Milestone kilichopo Mtaa wa Uttara jijini Dhaka, saa saba mchana wakati wanafunzi wakiwa darasani. Awali idadi iliyotangazwa…

Read More