
Sababu wanawake kuumwa zaidi magonjwa ya uti wa mgongo
Moshi. Wakati wagonjwa wenye matatizo ya uti wa mgongo zaidi ya 200 wakifanyiwa upasuaji kila mwaka katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC wanawake wametajwa kuwa miongoni mwa waathirika wakubwa wa tatizo hilo. Miongoni mwa sababu zinazotajwa ni ubebaji mimba za kufululiza, shughuli nyingi za kuinama bila kupumzika, kubeba mimba za watoto pacha,…