
Haya hapa matokeo waliopenya ubunge viti maalumu
Dar /Mikoani. Baadhi ya watiania ubunge viti maalumu wanaomaliza muda wao, katika mikoa minne wamefanikiwa kutetea nafasi hizo kwa kupenya kwenye mchakato wa kura za maoni uliofanyika leo Jumatano Julai 30,2025. Kura za maoni hizo zimefanyika katika mikoa mbalimbali kupitia mikutano mikuu ya Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT). Baadhi ya…