
Mhadhiri afia hotelini akidaiwa kunywa dawa za kuongeza nguvu, mwanafunzi adakwa
Nigeria. Katika tukio la kusikitisha mwanafunzi wa mwaka wa pili, Gloria Samuel (22) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kufuatia kuhusishwa na kifo cha mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Prince Abubakar Audu (PAAU), aliyekuwa naye hotelini. Tukio hilo limetokea Anyigba, Kogi State nchini Nigeria ambapo asubuhi ya Julai 15, 2025, tovuti ya Daily Post Nigeria…