
NGO YAWAWEZESHA WAKULIMA KUPITIA UJASIRIAMALI
Na Mwandishi Wetu, Michuzi Blog WAKULIMA katika wilaya za Kondoa na Chemba wanaendelea kupewa mafunzo ya stadi na ujuzi wa ujasiriamali kwa lengo la kuwawezesha kuwa na vyanzo mbalimbali vya kipato badala ya kutegemea kilimo pekee. Hatua hiyo inalenga pia kuhakikisha kuwa wakulima wanaongeza thamani kwenye mazao yao ya kilimo kama vile alizeti, karanga na…