
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA AZURU NACTVET
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Elimu, Dkt. Hussein Omar akizungumza na Katibu Mtendaji wa NACTVET, Dkt. Mwajuma Lingwanda wakati Naibu Katibu Mkuu alipofanya ziara Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), kujielimisha kuhusu shughuli zinazotekelezwa na Baraza hilo. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya…