Kumekucha… Simba yashusha mrithi Tshabalala

NI kama vile mabosi wa Simba sasa wameamua kujibu kwa vitendo baada ya kuwepo kwa kelele nyingi mtandaoni juu ya kushindwa kufanya usajili na badala yake kutoa ‘thank you’ tu kwa waliokuwa nyota wa timu hiyo, kwa kumshusha beki wa kushoto wa kurithi nafasi ya Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Tshabalala aliyedumu Msimbazi kwa muda wa miaka…

Read More

Kuokoa SDGs bado inawezekana, lakini nchi lazima zichukue hatua sasa: Guterres – Maswala ya Ulimwenguni

Akihutubia mawaziri katika makao makuu ya UN huko New York, yeye alitaka hatua za haraka Ili kuokoa lagging Malengo endelevu ya maendeleo (SDGS) huku kukiwa na vita, usawa na shida ya kifedha. “Mabadiliko sio lazima tu – inawezekana“Alitangaza, akionyesha ahadi za alama zilizopitishwa katika miezi ya hivi karibuni: makubaliano ya janga saa Mkutano wa Afya…

Read More

Congo, M23 wafikia mwafaka Qatar

Doha. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kundi la waasi la M23 hatimaye wamefikia makubaliano ya awali ya amani yaliyotiwa saini katika mji wa Doha, Qatar mwishoni mwa wiki. Azimio hilo, linalojulikana kama Declaration of Principles, linabeba matumaini mapya ya kufungua ukurasa wa mazungumzo ya kisiasa baina ya pande hizo mbili ambazo…

Read More

UCHAMBUZI WA DADY IGOGO: Karata ya wagombea Viti Maalum udiwani CCM yaadhihirisha umuhimu mikopo ya asilimia 10

Nimevutiwa na habari ya Gazeti la Mwananchi la Julai 21, 2025 ukurasa wa mbele inayosema ‘Mikopo ya asilimia 10 ilivyogeuka kete ya wagombea udiwani wa CCM’, kwamba wagombea wametumia fursa za mikopo ya halmashauri kama kete kwa wajumbe ili wawapigie kura. Ni dhahiri kuwa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali yake amepiga hatua kubwa katika…

Read More

Wananchi kuchangishana fedha kujenga shule

Simiyu. Wananchi wa Kijiji cha Nyashimba, Kata ya Ng’higwa, Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wameamua kuchukua hatua ya kujenga shule ya sekondari baada ya kilio cha muda mrefu kuhusu watoto wao kutembea umbali mrefu kufuata shule. Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wazazi na walezi waliokuwa wakilalamikia wanafunzi wanaomaliza elimu ya…

Read More