
Madereva 11 wafungiwa leseni kwa ulevi Mwanza
Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata na kuwafungia leseni za kuendesha magari madereva 11 kwa kipindi cha miezi mitatu kila mmoja, baada ya kubainika kuendesha vyombo vya moto wakiwa wamelewa, kusababisha ajali na kuharibu miundombinu ya barabara. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatatu, Julai 21, 2025 jijini Mwanza, Kamanda wa Polisi jijini…