
UCHOVU WA DEREVA WADAIWA KUSABIBISHA AJALI NA KUUWA WATUMISHI WAWILI WA TRA MKOANI MWANZA
Wafanyakazi wawili wa mamlaka ya mapato Tanzania mkoa wa Mwanza TRA wamefariki papo hapo baada ya kupata ajali ya gari. Akitoa taarifa ya ajali hiyo kamanda wa polisi mkoa wa Geita SACP Safia Jongo amesema kuwa ajali hiyo ilitokea mnamo July 20 majira ya saa 10 alfajiri katika eneo la bwawani mamlaka ya mji mdogo…