RAIS WA ZANZIBAR, AMEFUNGUA KAMBI YA MATIBABU NA UCHUNGUZI WA AFYA YA KUMUENZI HAYATI ALI HASSAN MWINYI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali, Familia na Wananchi katika kumuombea dua Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, kabla ya kufunguwa Kambi ya Matibabu na Uchunguzi wa Afya, unaofanywa na Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya, ikiwa ni…

Read More

‘Wakumbukeni, waombeeni dua waliotangulia mbele ya haki’

Pemba. Mwenyekiti mstaafu wa  Chama cha ADC, Hamada Rashid Mohd ametoa rai kwa  wanasiasa nchini  kuwaenzi viongozi waliotangulia mbele ya haki kwa kuendeleza  mazuri waliyoyaanzisha. Amesema hiyo ni sehemu ya  kuwaombea dua waliotangulia kutokana na michango yao kwa Taifa na jamii badala ya kuwasifu kwa harakati za kisiasa pekee. Hamada amesema hayo leo Jumanne Julai…

Read More

Waarabu wapiga kambi Singida Black Stars

WAKATI kiungo wa Singida Black Stars raia wa Ivory Coast, Josaphat Arthur Bada akidaiwa kukaribia kujiunga na JS Kabylie ya Algeria, nyota mwingine wa timu hiyo pia, Marouf Tchakei anawindwa na Ismaily SC ya Misri ili kuichezea msimu ujao. Taarifa ambazo Mwanaspoti lilizipata, zinaeleza Tchakei raia wa Togo ni chaguo la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi…

Read More

RC BALOZI,DKT BATILDA BURIAN ATOA AGIZO KWA WAKANDARASI MRADI WA UBORESHAJI HUDUMA YA MAJI TANGA WA HATIFUNGANI YA KIJANI

Na Oscar Assenga,TANGA MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi,Dkt Batilda Burian amewataka wakandarasi watakaohusika katika utekelezaji wa mradi wa hatifungani ya kijani kwa ajili kuboresha huduma ya maji katika Mkoa wa Tanga kuhakikisha wanautekeleza kwa ufanisi mkubwa na ukamilike kwa wakati ili wananchi waweze kupata huduma lengwa. RC Batilda aliyasema hayo leo wakati akipokea vifaa…

Read More

Tanzania yataka juhudi za kidiplomasia kumaliza ghasia DRC

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema baada ya juhudi za kijeshi za muda mrefu kutuliza ghasia Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), kwa sasa kunahitajika hatua za kisiasa na kidiplomasia kupata muarobaini wa tatizo. Tanzania imesisitiza umuhimu wa mshikamano wa kikanda katika kulinda amani, usalama na utawala bora ndani ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini…

Read More

Mtoto wa miaka minane adaiwa kujinyonga Arusha

Arusha. Ni simanzi na majonzi, ndivyo unavyoweza kusema ukifika katika familia ya mtoto Karim Rahim (8) mkazi wa mtaa wa Osunyai Jr uliopo kata ya Sombetini jijini Arusha anayedaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya pazia jana Julai 20,2025. Kwa mujibu wa majirani, mtoto huyo aliyekuwa akiishi na bibi yake, alikuwa anapenda kuangalia sinema za mapigano…

Read More

Mradi Tanzania ya Kigijitali wafikia asilimia 90

Dar es Salaam. Utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya kidigitali unaogharimu zaidi ya Sh387.6 bilioni umefikia zaidi ya asilimia 90, huku upatikanaji wa huduma za baadhi ya taasisi mitandaoni ukitajwa kuwa moja ya faida. Mradi huo wa miaka mitano, ambao Benki ya Dunia imetoa fedha, unatarajiwa kufikia tamati Oktoba 2026, ukiwa unasimamiwa na Wizara ya…

Read More

Winga teleza azitia vitani Pamba Jiji, Mtibwa Sugar

Mtibwa Sugar imeingilia dili la kumpata winga mshambuliaji wa Kagera Sugar, Erick Mwijage, baada ya nyota huyo kufikia makubaliano ya masilahi binafsi ya kujiunga na Pamba Jiji ya jijini Mwanza, kabla ya waajiri wake kuweka ngumu. Nyota huyo alifikia makubaliano ya kujiunga na Pamba kwa mkataba wa mwaka mmoja, ingawa nyota huyo alikuwa na kandarasi…

Read More

Msaidizi wa Fadlu ajiondoa Simba

WAKATI Simba ikiendelea kutangaza orodha ya wachezaji watakaokuwa nje ya hesabu za timu hiyo kwa msimu ujao wakiwapa ‘Thank You’, kuna msaidizi mmoja wa kocha Fadlu Davids amejiondoa ghafla. Aliyetangaza kujiondoa ni mtaalam wa takwimu za wachezaji, Culvin Mavunga aliyetangaza kuondoka ndani ya timu hiyo. Mavunga aliyefanya kazi kwa miaka mitano Simba akitokea kwao Zimbabwe,…

Read More