
Polisi wawili washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Dodoma
Dodoma. Mkazi wa Kitongoji cha Mgomwa, Kata ya Matumbulu jijini Dodoma, Frank Sanga (32), amefariki dunia akidaiwa kupigwa risasi na askari polisi waliokuwa doria, alipokuwa akimsaidia ndugu yake aliyekamatwa na askari hao kwa makosa ya usalama barabarani, asipelekwe kituoni. Tukio hilo linadaiwa kutokea Julai 19, 2025, saa 7:30 mchana, maeneo ya Matumbulu jijini Dodoma, ambapo…