
UWEZO WA WANAFUNZI WA SHULE YA MZIZIMA WADHIHIRISHA MAFANIKIO YA MRADI WA BOOST
“Serikali kupitia Mradi wa BOOST imeleta mapinduzi makubwa ya elimu kwetu. Tunashukuru kwa kutujengea madarasa, matundu ya vyoo na kuweka mazingira bora ya kujifunza,” alisema Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mzizima ya Mchepuo wa Kiingereza, Maua Rashid Kibendu, akifungua ziara ya waandishi wa habari shuleni hapo jijini Dar es Salaam. Katika ziara hiyo, wanafunzi…