
Viti maalumu udiwani, sura mpya zaibuka Moshi Mjini
Moshi. Mchakato wa kura za maoni kwa nafasi ya madiwani wa viti maalumu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Moshi umekamilika, ambapo sura mpya zimeibuka huku mmoja wa waliokuwa wakishikilia nafasi hizo akipoteza nafasi kwa kushika nafasi ya nane. Uchaguzi huo umefanyika katika Ukumbi wa YMCA Moshi Mjini chini ya usimamizi wa Alhabibi…