
Elimu ya kidijitali, hatua ya dharura kwa mazingira ya habari, mawasiliano Afrika
Mapinduzi ya kidijitali yamebadilisha jinsi taarifa zinavyotengenezwa, kusambazwa, na kutumiwa. Hata hivyo, yameibua changamoto kubwa kama vile upotoshaji wa taarifa, habari za uongo, na matamshi ya chuki changamoto zinazotishia si Afrika pekee bali dunia nzima. Katika Mkutano wa Baraza la Vyombo vya Habari Barani Afrika uliofanyika Julai 2025 mjini Arusha, Tanzania, wadau walikubaliana kuwa elimu…