
Mabula aanza rasmi Ligi Kuu Azerbaijan
KIUNGO Alphonce Mabula wa Shamakhi FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Azerbaijan amesema sasa anaanza kazi rasmi baada ya kupata uzoefu wa kucheza ligi hiyo, tangu alipojiunga nayo dirisha dogo la msimu uliopita na kucheza miezi sita. Mabula ambaye alijiunga na Shamakhi akitokea FK Spartak Subotica ya Ligi Kuu ya Serbia alikocheza kwa misimu miwili, aliliambia…