
Bao la Mzize bado lamliza Chalamanda
KIPA wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda amekiri licha ya kufungwa mabao kibao msimu uliopita, lakini bado anateswa na lile alilotunguliwa na straika wa Yanga, Clement Mzize na ndilo lililokuwa bora kufungwa na lilimshangaza na kumuuzia hadi leo. Chalamanda ambaye ameitumikia Kagera kwa miaka minane mfululizo, ni miongoni mwa makipa wanaoongoza kwa kuokoa akifanya hivyo mara…