
Ndoto ya Asheri aliyetengeneza mchoro wa barabara, madaraja yaanza kutimia
Dar es Salaam. Safari ya kijana, Ridhiwani Asheri kutimiza ndoto yake imeanza kuiva, baada ya kutua jijini Dar es Salaam kukutana na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega katika ofisi ndogo za wizara hiyo, zilizopo Barabara ya Sam Nujoma jijini hapa. Asheri aliyeambatana na mama na mjomba wake, walifika Dar es Salaam jana Jumamosi Julai 19,…