
Madaktari wataja kipimo sahihi kubaini, kuitibu PID
Dar es Salaam. Wakati kukiwa na utitiri wa dawa za kutibu tatizo la maambukizi ya bakteria katika mfumo wa uzazi wa mwanamke ‘PID’ wataalamu wa afya nchini wametaja kipimo sahihi cha kubaini tatizo hilo na kulitibu, mchakato unaojumuisha kuotesha viini vya maradhi maabara. Wamesema bila kipimo hicho ni ngumu kuitibu, kwani asilimia 85 ya PID…