
Simba Kupoteza Zimbwe JR Ni Pigo Kubwa – Video – Global Publishers
Last updated Jul 19, 2025 Mchambuzi wa soka nchini, Thomas Mushi, amesema kuwa iwapo mlinzi tegemeo wa Simba SC, Zimbwe JR, ataondoka kwenye kikosi hicho, basi itakuwa pigo kubwa kwa klabu hiyo yenye rekodi kubwa ya mafanikio nchini. Kauli hiyo imekuja kufuatia kuibuka kwa tetesi zinazoeleza kuwa Zimbwe JR tayari amemalizana…