
DILI MOJA LA KIBABE | Mwanaspoti
UHAMISHO wa Luis Diaz kwenda Bayern Munich utaibua mshikemshike kwenye klabu nyingi za Ligi Kuu England zitakapopigana vikumbo huko sokoni. Supastaa huyo wa kimataifa wa Colombia, 28, ameachana na Liverpool ili kwenda kukipiga Bayern Munich kwa dili la uhamisho wa Pauni 65.5 milioni. Kutokana na dili hilo la Diaz kwenda Ujerumani, Liverpool sasa itapambana kunasa…