
Polisi yachunguza mtoto aliyepotea mazingira ya utata Tabora
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linachunguza tukio la kupotea kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu anayeishi na wazazi wake Kata ya Mpela, Manispaa ya Tabora. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Julai 19, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema mtoto huyo amepotea Julai 18, 2025 maeneo…