
Wanariadha 4,000 kuchuana Mwanza kusaka Sh1 bilioni, RT yabariki
JUMLA na wakimbiaji 4,000 wanatarajiwa kushindana katika mbio za hisani za Bugando Health Marathon msimu wa pili zenye lengo la kukusanya Sh1 bilioni za kusaidia wagonjwa wa saratani wasiomudu gharama za matibabu. Idadi hiyo ya wakimbiaji ni ongezeko la wanariadha 2,000 waliochuana kwenye mbio za msimu uliopita. …