
Mfahamu mtoto anayetikisa kwa kubuni miji, asimulia alivyoanza
Kongwa. Ni kipaji, ubunifu na ndoto iliyochomoza katikati ya akili kubwa. Ndiyo, hakuna neno lingine unaloweza kulitumia unapokutana kwa mara ya kwanza au unapomwelezea mtoto Ridhiwani Asheri. Kwa wiki sasa mtoto huyu amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania baada ya kipande cha video yake kusambaa ikimuonyesha akiwa ametengeneza mji kwa kutumia miti, vipande…