
ORYX ENERGIES YAZINDUA CHUMA KWA CHUMA SIO POA KUDHIBITI AJALI ZA BODA BODA,BAJAJI
:::::::: KAMPUNI ya Oryx Energies Tanzania Limited imezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya uhamasishaji wa usalama barabarani ijulikanayo kama “Chuma kwa Chuma Sio Poa”, yenye lengo la kuwahamasisha waendesha bodaboda na bajaji kuzingatia sheria za usalama barabarani ambayo imekwenda sambamba na kukabidhi vibanda vya kisasa kwa ajili ya kumpuzika askari wa wawapo barabarani wakitekeleza majukumu…