
Makaka yupo freshi, asikilizia simu tu!
BAADA ya kukosekana uwanjani msimu uliopita, kipa Mohamed Makaka amesema kwa sasa yupo tayari kukipiga popote, akieleza kuwa uwezo na uzoefu alionao timu yoyote namba ni uhakika. Makaka aliyewahi kukipiga timu kadhaa ikiwamo Stand United na Gwambina, msimu uliopita alijikuta nje ya uwanja baada ya kuumia goti alipokuwa akikiwasha Mtibwa Sugar aliyoshuka nayo daraja. Staa…