
Bangi ilivyo fupa gumu Tanzania
Dar es Salaam. Ripoti ya Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya Duniani ya mwaka 2024 imeonyesha bangi bado inaongoza kutumika zaidi duniani, takribani watu milioni 228 waliitumia mwaka 2022. Idadi hiyo ni sawa na asilimia nne ya watu wote duniani, ikiwa ni ongezeko la asilimia 28 katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Kwa mujibu…