
Simba SC yamfuata straika Cameroon
KUNA mazungumzo yanafanyika baina ya viongozi wa Simba na mshambuliaji wa klabu maarufu ya Coton Sport FC de Garoua tayari kuvaa uzi mwekundu msimu ujao. Mwanaspoti limepata taarifa kutoka chanzo cha ndani cha klabu hiyo, kuhusu uwepo wa mazungumzo ya John Bosco Nchindo…