
Mtoto adaiwa kumshambulia baba yake, amtumbukiza kwenye shimo la choo
Kibaha. Kijana mmoja aitwaye Rajabu Musa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, baada ya kumshambulia na kisha kumtumbukiza kwenye shimo la choo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mtuhumiwa, Rajabu Musa, alikamatwa muda mfupi baada ya tukio hilo kugundulika,…