Wachumi wataja mbinu utekelezaji Dira 2025

Dar es Salaam. Wataalamu wa uchumi nchini wametoa maoni wakipendekeza namna ya kuwezesha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ili kuhakikisha Taifa linatimiza malengo yaliyokusudiwa katika ukuaji uchumi. Dira ya Taifa 2050 iliyozinduliwa jana Alhamisi Julai 17, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dodoma imeweka malengo ya ukuzaji wa pato la…

Read More

Hofu yatanda wawili wakibakwa, kuuawa

Arusha. Hofu imetanda jijini Arusha baada ya miili ya wasichana wawili kuokotwa, chanzo cha vifo vyao kikidaiwa ni kubakwa, kulawitiwa, kuvunjwa shingo na kutobolewa macho. Kutokana na matukio mawili tofauti yenye kufanana, wananchi wameiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi lifanye msako ili kuwabaini watuhumiwa, kuwachukulia hatua kali za kisheria, pia kuimarisha ulinzi na usalama katika…

Read More

Mfanyabiashara auawa kwa risasi Kinondoni

Dar/Tabora. Mfanyabiashara mwenye asili ya Uturuki, Alptekin Aksoy (52) ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana waliokuwa wakitumia pikipiki. Tukio hilo limetokea leo Julai 18, 2025 saa 5:30 asubuhi katika eneo la Kinondoni Makaburini, jijini Dar es Salaam. Shuhuda wa tukio hilo lililothibitishwa na Jeshi la Polisi, ambaye hakutaka kutaja jina amelieleza Mwananchi kuwa alimuona…

Read More

Wagonjwa wanaozunguka mitaani kuomba msaada wa matibabu sasa kutibiwa bure

Mwanza. Wagonjwa waliokuwa wakilazimika kuzurura mitaani kuomba msaada wa matibabu sasa wanatarajiwa kupata huduma hizo moja kwa moja bila ya kuombaomba, kufuatia mpango mpya ulioanzishwa na shirika lisilo la kiserikali la Pearable Good Samaritan Tanzania Organization (PGS). Mpango huo unalenga kuwafikia na kuwahudumia watu wanaokabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya, hasa wale…

Read More

Uamuzi wa Mbowe wazidi kuwagawa Chadema

Dar es Salaam. Hatua ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, imezidi kuwagawa makada wa chama hicho, baadhi wakimkosoa na wengine wakimtetea. Wanaomkosoa wanajenga hoja zao wakisema, amekuwa kimya kuhusu yanayoendelea ndani ya chama chake, inawezekanaje ashiriki hafla ya kiserikali. Kwa upande wa…

Read More

Ngassa awataja Mpanzu, Pacome | Mwanaspoti

KIUNGO aliyemaliza mkataba Tanzania Prisons, Berno Ngassa amewataja wachezaji wanne aliyokuwa anawatazama kama mfano wa kuigwa wanavyocheza kimbinu na akili msimu uliyopita. Ngassa ambaye msimu uliyopita alimaliza na mabao manne na asisti moja alisema kutoka Prisons Haruni Chango (mabao manne, asisti moja) wa Yanga Maxi Nzengeli (mabao sita sita, asisti 10),  Pacome Zouzoua (mabao 12,…

Read More

Mnigeria ataka Sh250 milioni atue Tabora United

WAKATI Tabora United ikiwa katika mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Nasarawa United, Mnigeria Anas Opkadibu Yusuf Ayitonu, klabu hiyo inatakiwa kulipa kiasi cha Sh250 milioni ili kuipata saini ya mfungaji huyo bora wa Ligi Kuu ya Nigeria. Anas aliyezaliwa Aprili 9, 1998, alikuwa ni mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Nigeria (NPFL) kwa msimu wa…

Read More