WANAJAMII MTWARA WAAPA KUPAMBANA NA NDOA ZA UTOTONI

Kivutio cha Mtwara Na Mwandishi wetu, Mtwara Wanajamii wilayani Mtwara vijijini wameahidi kuendelea na harakati za kupambana na ndoa za utotoni ili kumkomboa mtoto wa kike na kumuwezesha kwenda shule. Wito huo umetolewa kijijini Nkunwa, wilayani Mtwara vijijini, leo wakati wakitoa maazimio ya kufunga mdahalo wa kijamii ulioandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) pamoja…

Read More

Benki ya Exim Tanzania Yazindua Elite Banking

Benki ya Exim Tanzania Yazindua Elite Banking Dar es Salaam: Katika hatua ya kihistoria ya kuendeleza ahadi yake ya kuwapa wateja wake huduma bora, Exim Bank imebadilisha maana ya huduma za kibenki za kipekee kwa kuzindua rasmi huduma yake ya ‘Elite Banking’. Uzinduzi huu ulifanyika katika hafla iliyohudhuriwa na watu maalum katika Hoteli ya Serena,…

Read More

NEMC YAELIMISHA UMMA KUHUSU KILIMO RAFIKI KWA MAZINGIRA MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE

Na.Mwandishi Wetu. BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki kikamilifu katika Maonesho ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma, likitoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda na kuhifadhi mazingira kupitia kilimo rafiki kwa mazingira. Kupitia banda lake, NEMC inatoa elimu kuhusu masuala mbalimbali ya mazingira, ikiwa ni…

Read More

PROF.MSOFE ARIDHISHWA NA UTENDAJI WA NEMC

NAIBU Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Profesa Peter Msofe,akizungumza na watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) mara baada ya kutembelea makao makuu ya Baraza hilo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu kuteuliwa kushika wadhifa huo. Na.Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu…

Read More