Baraza la Usalama la UN linakutana juu ya shida nchini Ukraine – Maswala ya Ulimwenguni

© Unocha/Viktoriia Andriievska Watu hukusanyika karibu na jengo lililoharibiwa huko Kyiv, Ukraine. Ijumaa, Agosti 01, 2025 Habari za UN Baraza la Usalama la UN linakutana Ijumaa alasiri kujadili mzozo unaoendelea nchini Ukraine, ambapo mashambulio ya hivi karibuni yamewaacha watu kadhaa wakiwa wamekufa au kujeruhiwa. Afisa mwandamizi wa mambo ya kisiasa ya UN anatarajiwa kufupisha juu…

Read More

Morocco: Tunataka rekodi mpya CHAN 2024

Ikiwa leo ndiyo siku ya kuanza kwa mashindano ya CHAN 2024, macho ya wengi Afrika na dunia yataelekezwa Tanzania, ambayo kwa mara ya kwanza inakuwa mwenyeji wa fainali hizi pamoja na Kenya na Uganda, ikiwa na kocha mzawa kwa mara ya kwanza kwenye michuano hiyo. Kwa Kocha Mkuu  Hemed Suleiman maarufu kama ‘Morocco’, mashindano haya…

Read More

NYAMBAYA: DRFA tupo tayari CHAN 2024

TUKIO kubwa linalosubiriwa na umma wa wapenzi wa soka Afrika hivi sasa ni mechi ya ufunguzi wa Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2024, itakayochezwa leo Jumamosi, Agosti 2, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Tanzania. Katika mechi hiyo itayochezwa kuanzia saa 2:00 usiku, timu ya…

Read More

Kocha Yanga ashusha mkwara mzito!

YANGA imeshamalizana na kiungo mmoja wa kigeni, Mohammed Doumbia na mshambuliaji Celestin Ecua na kilichobaki kwa sasa ni kuwatambulisha tu, lakini kuna kocha mmoja Mfaransa aliyekuwa akifuatilia usajili wa timu hiyo ametoa kauli ambayo inaweza kuwa kama salamu kwa timu pinzani. …

Read More

Simba inawachora tu kwa Mpanzu

WAKATI tetesi mbalimbali zikidai winga wa Simba, Ellie Mpanzu anaweza kuondoka dirisha hili, taarifa kutoka chanzo cha kuaminika Simba zimesema mchezaji huyo bado yupo sana na kesho Jumapili atatua baada ya awali kuomba udhuru kumaliza mambo akiwa kwao DR Congo. …

Read More

Josiah aziingiza vitani mbili Bara

Namungo na Dodoma Jiji zimeingia vitani kuisaka saini ya aliyekuwa kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah, lakini inadaiwa itakayokuwa na mkwanja mnene inaweza ikafanikisha dili hilo kwani kwa sasa kocha huyo hana timu. Chanzo cha ndani kutoka Namungo kilisema uongozi umeshawishika kutaka huduma ya Josiah kutokana na kile alichokifanya akiwa na Prisons msimu uliyopita,…

Read More