…………,….
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa michuano ya CHAN 2024, katika Dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo wa ufunguzi Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inachuana na Burkina Faso.
Michuano hiyo inafanyika katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.